Sina baya na wewe wala sijakukunjia Ila sometimes hasira si unajua wanadamu Sina noma na wewe wala sijakununia Ila nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu Ya kula hata kulala Mwenzako kazi nashindwa hata kufanya Umeniroga wapi wewe aaah Nashindwa kula wala kulala Mwenzako kazi siwezi hata kufanya Umeniroga wapi wewe aaah Hapana hujaniroga hujaniroga Labda penzi tu lilinoga Nikakupenda kiukweli ukweli Ikaingia aah Nikazama Nikazama Nikazama Nikazama Likitajwa jina lako ooh moyo wanidunda Yanijia sura yako ooh bado Siwazi kurudiana sitaki turudiane Ila sipendi kubakia na dukuduku rohoni Tulipendana kwa shida Tukaachana kifala sawa ah Japo nililia hadi ndugu Wakasema umeniroga Hapana hujaniroga hujaniroga Labda penzi tu lilinoga Nikakupenda kiukweli ukweli Ikaingia aah Nikazama Nikazama Nikazama Nikazama