Kishore Kumar Hits

Marioo - Tomorrow lyrics

Artist: Marioo

album: The Kid You Know (Deluxe Edition)


Halooo!
Zombieeh!
Mmh Baddie
Eeeh heeh!!!
(S2kizzy baby)
Shhh!!
Nimegundua shida nikumzoea
Kinachonipa shida nimazoea
Nimegundua shida nimeizoea
Yanayonipa shida nimazoeaa
Si anajua ndo maana anafanya kusudi
Kunikomesha ananikomesha
Nishajishusha sana mpaka sina mood
Anichoresha ananichoresha
Acha niitwe mlevi
Acha niitwe popo
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya
Acha niitwe mdangaji
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Mmmh Aiweeh
Mara aseme natoka na Wema Sepetu (petu)
Anasema natoka na Hamisa Mobetto (beto)
Kosa sio kosa ndege ameruka pruuh ameruka pruuh
Mi sina kosa ila ananijia juu ananijia juu
Naonewa yoyoyo aah
Nanyanyaswa acheni mie
Acha niitwe mlevi
Acha niitwe popo
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya
Acha niitwe mdangaji
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Hadi Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
(Haya mi staki deni)
Tuko apa mpaka tomorrow
Ahh! Mpaka Tomorrow!!
Tuko apa mpaka tomorrow
(Shusha ngoma kali)
Tuko apa mpaka tomorrow
Haloo! Tutalala keshoo!!
Tuko apa mpaka tomorrow
(Tupo tupo sana tupo sana)
Tuko apa mpaka tomorrow
(Kamix Laizer)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists