We si uliniambia ulipotoka nyuma uliumizwa Ukateswa ukaumia mapenzi ukachukia Tena ukaniambia,umechoka kutwa kuumizwa Ulikosea njia, ulidhani mwanga kumbe giza Ulinidanganya, we wa kufa kuzikana na mimi nikazama kukupenda baba Ye si ndo alifanya ukalia sana moyo akaugawanya mbona mmerudiana Siamini tena mapenzi wamerudiana wamerudiana Na yule aliomuumizaga wamerudiana Aliouponda moyo wake wamerudiana Oyeee oyeee oyeeee Kumbe nilipoteza muda kumpigia gita mbuzi Sikujua ungekuwa yuda, ningepata mauzi Mengi uliniambia haumpende unamchukia Nyongo imetumbukia hautaki ata kumsikia Manyongee nikakuhurumia chozi nikakufuta pia Yote yamesahaulika,Leo umemrudia Yaraarab huruma yangu ndo ilo niponzaaaa Nilimpa moyo wangu amenipa kidonda Ulinidanganya, we wa kufa kuzikana na mimi nikazama kukupenda baba Ye si ndo alifanya ukalia sana moyo akaugawanya mbona mmerudiana Siamini tena mapenzi wamerudiana wamerudiana Na yule aliomuumizaga wamerudiana Aliouponda moyo wake wamerudiana