Kishore Kumar Hits

Phina - In Love lyrics

Artist: Phina

album: In Love


Mmmmmm
Kila kwenye ndoto zangu
Naotaga kuwa na wewe
Hata nikisema naugua
Dawa nahisigi ni wewe
Unaishi mawazoni mwangu
Furaha ya Mi ni wewe
Hata nikisema naugua
Dawa nahisi ni wewe
Nasio kwamba siwezi kupata mwingine
Ila moyo
Sio kwamba sipati kutakiwa aaaaaah, mi amor
Sio kwamba siwezi kupata mwingine eeeeeh
Sio kwamba sipati kutakiwa aaaaaah
Wala sio zoba Nazi koroma
Kinachomatter ni upendo upendo "koroma"
Mi Sina uzoba Kama koroma
Kinachomatter ni upendo upendo na nakupenda aaaaah
I'm in love with you
I'm in love with my love
I'm in love with you
I'm in love with my love nakuaminiiii
I'm in love with you
I'm in love with my love
I'm in love, I'm in love
Navuta picha labda si tukitengana
Na nilivyopenda ivi uhisi itapoa
Siipati picha ile siku ya kuoana, natusipotenda ivi udhani itapoa
Mapenzi matamu tupendane
Wabaya washindwe kushauri
Uwe wangu milele tufanane, mi kwako ndo Sina ata kauli
Wala sio Nazi koroma, kinachomatter ni upendo upendo koroma
Mi Sina uzoba Kama koroma
Kinachomatter ni upendo upendo na nakupenda aaaaah
I'm in love with you
I'm in love with love
I'm in love with you I'm in love with love
I'm in love with love(nakupenda baby)eeeeeh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists