Kishore Kumar Hits

H_art the Band - Milele (Saturday / Sunday) lyrics

Artist: H_art the Band

album: Simple Man


Your love and your mercy
Endure forever
Leo mpaka milele
Yakiinuka mawimbi
Na dhoruba zote kali
Nikikanyaga mavumbi
Bado unanihifathi
Haya macho hayaoni
Unayoniwazia mimi
Na bado Hubadiliki
Unatimiza ahadi
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Umetengeneza mji
Wa maziwa na asali
Pasipokua na chuki
Matatizo ya awali
Wanilinda kama mboni
Pasipo wewe mi sioni
Na yote unamiliki
Utatimiza ahadi
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists