Kishore Kumar Hits

Chris Kaiga - I Want lyrics

Artist: Chris Kaiga

album: Adventures of Chris Kaiga


I want
I want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so
Eh
Nikikazana na Shule
Nilikazanga ma Shoe lace nikafunge
Saa hii na Turn Up ndani ya club hata on a Tuesday
Ndio kila saa utapata na papasa ka Shuthe
Passa Passa dancer Me ni mtu tu ma Two Step
Mafisi wako rada ya ma haga na ma cute face
Na binti anakaa ni kama ye ni star wa Movie
Mwili amebeba kama nganya ya bure
Itabidi hata bill ikizidi
Waiter atumwe
Beer mbili baridi na glass ya Champagne for the girl dem
Kiti haikaliki Mami aki dance for the man dem
Akili imechizi naona after club ni mathare
Akinikatikia hivi Usiku yote hadi ngwaree
I Want, I Want, I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so
Magal dem watamaliza the Mandem
Sijalipa rent Washa nimalizia mshande
Juu Monday to Monday, niweke Clande, Mtofauti
Kwa budget plus na beste yake
Itabaki nipange Mpango wangu wa Kando
Juu hawa ma gal dem wako fine kama salama
Nawapiga Kiswahili, kaa Mtalamu
Na sijatoka Area za Malindi ama Lamu
Akin ng'orea namchorea kaa Kalamu Halafu
Songea Beste yake na How are you?
Natupa lugha niki order tu ma ng'ang'u
Badae badae nakafunga kaa Karau
I Want, I Want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so
Ananimaliza maliza na Ka figure aki katika
Majaliwa hata niambia ame marika marika
Juu ame Pakishi ma ninja wote wamemkaribia
But, najiaminia ka ki Track ya Nyashinski
Kwanza nikichanganyisha Balee na ma shot za whisky
Najipata nisha Manage kumsongeshea Kiti
Nikimchangamsha pale na Shots ka mbili
Mfuko ikule damage, ma deni zizidii
Ma Shida badae, Brathe iko nini
Juu Ana assets on assets, kaa budget ya Nchi
Namkulisha the language, aingie Box vifiti
Mpaka apige danse anirombosee mwili
I Want, I Want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists