Kishore Kumar Hits

Chris Kaiga - Bundas lyrics

Artist: Chris Kaiga

album: Bundas


Tunapull up, mraia watuta
Tuko juu ya nduthi na back up ya Uber
Madem wanakaa Chun Li
Ma-Boss chic, ki Huddah
Venye wana-stager ni kaa wanabanjuka
Dem chuma but anadai kuchungwa
Hio tena haiwezi juu tu tumeanza dunda
Itabaki wametokwa kaa mlango haijafungwa
Hizi bunda za faa kupigwa bundas...
Najaza meza pamoja na ukuta
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa
Juu nina bunda na zangu zimerunda
Juu nina bunda na zinani-sumbua...
(Bundas)
All eyes on me kama Makaveli
Zikicheki-cheki mfuko zangu heavy-heavy
Hadi mwenye bar na meneja wanadai selfie
Juu meza imejaa mizinga za Henny
Ita waiter akam, oya kam
Mtu wangu shika glass
Leo pia wewe pigwa na kichupa
Keep change ukipigwa na the bundas
Najaza meza pamoja na ukuta
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa
Juu nina bunda na zangu zimerunda
Juu nina bunda na zinani-sumbua...
(Bundas)
Leo situpi lugha ni ma bunda zinazungumza
Na magyal dem
Kwa niaba ya de mandem
Wananisugua kama kipande
Kutoka sunset hadi mangware
Na leo nawabadilisha kama ma-channel
Nawai slim ting pum-pum badae
Na-holla melanin na yellow ting same time
Niko idhaa ya kucheza nao kimimi, one time
Najaza meza pamoja na ukuta
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Juu hizi bunda zinani-sumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa
Juu nina bunda na zangu zimerunda
Juu nina bunda na zinani-sumbua...

(Bundas)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists