Kishore Kumar Hits

Chidi Beenz - Hasira Za Nini lyrics

Artist: Chidi Beenz

album: The Best of Chidi Beenz


La Familia
Chid Benz
Aaaa Ali Kiba
Hasira za nini kwanini huniamini
Kama mwenzio nakupenda
Maneno mengi mjini ili uniache mimi
Lakini mwenzio bado nakupenda ×2
Chakula hakiliki kama nisipo kuona
Haipiti chai, iriki wala ndafu iliyo nona
Lazizi waubani (chumba) mashallah Mola kweli aliumba
Huna kasoro umejazika mlaini kama godoro kiuno unakatika
Nabangaiza vibarua mchana usiku japo nipate chochote nije tule ipite siku
Maneno ya waongo waharibu makusudi usafiri mjini wa taabu ninapo chelewa kurudi usinihisi vibaya ukanuna, ukavimba ukatamani unirarue ugeuke simba
(Ugeuke simba baby hasira za nini)
Hasira za nini baby
Hasira za nini kwanini huniamini kama mimi mwenzio bado nakupenda maneno mengi mjini ili uniache mimi lakini mimi mwenzio bado nakupenda ×2
Mamy punguza hasira na unisikilize mimi please acha kuzira hivyo nami hunithamini
Sina mwingine zaidi yako haki ya nani moyo wangu upo kwako kwingine sito tamani
Nilizunguka pande zote nikaona warembo wote
Kote nilisimama kwako naanguka niokote
Unanipa morali ya kutafuta mapesa najaza kibubu maisha mbele yasije kututesa
Pesa ndio kila kitu nazisaka mchana usiku
Sipendi sipendi kuishi kwa karaha nakwambia kila siku
Popote kambi chochote pwani ndio life honey
Sitaki tuje lia njaa nazisaka nje ndani
Jasho langu ili upate isikukumbe tamaa
Japo nilite mkate wakinishinda dagaa
Nipende usiniache mamy usije tambaa
Napo kukumbata nikumbate wangu wa shida na raha
Hasira za nini mamaaa
La Familia
Chid benz hapa
Hasira za nini kwanini huniamini kama mimi mwenzio bado nakupenda maneno mengi mjini ili uniache mimi lakini mwenzio bado nakupendaa ×2
Usinihukumu vibaya kwa maneno ya watu wabaya wasiopenda maendeleo kwa watu ×4

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists