Kishore Kumar Hits

Nyandu Tozzy - Mguu Wa Kutoka lyrics

Artist: Nyandu Tozzy

album: 26 Life


Kong
S2kizzy baby
Konyagi simba,bush'n shifta
Kunywa lika i do it all
Gongo shisha chibuku shifta
Kunywa lika i do it all
Kwangu mitungi mingi imejaa store
Wooh wooh wooh
Nisipogonga lika mwili unashock(basiii)
Nipeshot niweze talk tik tok
Kulewa raha aku siwezi stop
Hasa nikilewa nakuwa busy
Everything easy
Nyumbani wacha nipitilize
Everything easy
Jana kidogo nijilize,nijilize
Kivipi mwizi nikimbize nikimbize(rrrr)
Tumeshafika kwa mama muuza geng'(geng' geng')
Lete tulivyo kama tulivyo gang(gang gang)
Tukishalewa tunaondoka gang(gang gang)
Siku hizi bwana raha kulewa geng
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
26 life tukienda mitungi shazi
Tuko smart daily,iyo mbona iko wazi
Ni party na love
Watoto wazuri wanashow mapendo (basiii)
Tupo high high tunakunywa vyombo
Tumeshafika kwa mama muuza geng'(geng' geng')
Lete tulivyo kama tulivyo gang(gang gang)
Tukishalewa tunaondoka gang(gang gang)
Shusha mitungi
Vitu vikali tunapombeka gang(geng geng)
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
Mguu wa kutoka,mguu wa kutoka
26 life Kong Tozeyy
Ebhana huyo demu amezima kamlazeni ghetto
Vitu vingii Over

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists