Kishore Kumar Hits

Nyandu Tozzy - Mawe lyrics

Artist: Nyandu Tozzy

album: Mawe


Hahahahaha
26 life
Zombie
S2kizzy baby
Kuna maku ameniDM(DM)
Anasema Nyandu sku hizi unazima sheli fegi
Umekuwa waki kinoma unahang out na kina vibegi
Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma -- wa mpaka nidedi
Sku hizi kitu na filter
Sidhani kama ungenijua kiundani
Ungekubali kuwa hater
Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini
Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini
R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli
Nimebaki mimi
Siku hizi hawatuoni oni tunaishi local -
Na Mungu anatuongoza
Hatujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza
Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza
Wana nyumba za vioo
Wanaleta shobo
Eeeh wanaleta nyodo
Eeeh wanaleta shobo
Eeeh wanaleta
Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe
I say kinyago, nakuchonga unanitisha
Lala na bango na team haitovunjika
Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta
Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha
Ey Mr Dj twende kwenye replay
Ey Mr Wivu we mpaka wivu uishe
Bongo tuiwakilishe mkunga usimzalilishe
We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe
Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop
Najulikana sana angani Mr Pipa
Mashoot makali juu ya ndae golikeeper
Hiphop inauza na getini mtalipa
Kilomita nyingi nanyoosha goti
Mi ndondosha verse we ndondosha pochi
Nadodosha noti unadodosha chozi
Mi nagonga copy kagonge goti
Wana nyumba za vioo
Wanaleta shobo
Eeeh wanaleta nyodo
Eeeh wanaleta shobo
Eeeh wanaleta
Eeh tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe
Eeh tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists