Kishore Kumar Hits

Weusi - Ile Saa lyrics

Artist: Weusi

album: AIR WEUSI


(S2kizzy baby)
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Si tulipeleka rap club bana (Haree)
Si tulifanya mkasema wanabana (Maree)
Si tulifanya wakaacha kubana (Chee chee)
I say hapo hutopata rap za kufanana (Chee chee)
Na siachi kusubiri kufa kufaana
Na Chuga ni mbegu kali tunazaana
Tananitashivo ukileta sizo
Sisi ni matatizo
I don't sleep oh no, no, no party silali bwana
Hatuna namna, namna, namna ni si tutusue bwana
Ile saa ya kufanya ya maana fanya ya maana
Ua maupinzani (Ua)
Zima maushindani (Zima)
Zima roho fulani (Zima)
Ua Mashetani (Ua)
Si ndio Wakanda Forever wanahianya wherever
Ile saa ulisanda linakuita jeneza
Nauliza msingi ulimeza
Ulisahau kuvaa unateleza? (ile saa)
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Ukileta umimi na mi naleta umimi me
Ukileta usiku naleta mwezi mzima me
Saa mmelala nasimama dede
Na saa mshakufa nasukuma chepe
Watoto wa kulea waambie tete
Watoto wakitaka wacha walete
Usiposhika hela hamwezi shika adabu
Muziki wa vijana watu wanakesha kwa babu
Maswali ya Mungu shetani sio jawabu (Hakosi)
Mungu akikupa shetani hakosi sababu (Mikosi)
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi
Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo
Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyoo
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Saa mnalala nasimama dede (Dede)
Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye)
Ile saa, ubaya uko mbele wema uko nyuma
Ile saa, wanga wanazima, Mungu anawasha
Ile taa, bosi fisadi anatumbuliwa
Ule usaa, ndo nyumba aliahidi utanunuliwa
Ngumu kupanda kama una marafiki wanaoshuka
Ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka
Eti weusi pipi nyinyi hizi ngumu mnauza
Sitaua tisa juu chini ukigeuza
Mke huwa malaya kama mume anampuuza
Lla saa unampa vidonda wengine wanampuliza
Ile saa, ile saa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists