Kishore Kumar Hits

Weusi - Machete lyrics

Artist: Weusi

album: AIR WEUSI


Wooo ooh
Ayayayaya yayaya yaa yaya
Alalalalala lalala laa lala
Ayayayaya yayaya yaa yaya iih
Bend over, bend over, bend over, (bend over)
Bend over (bend over, bend over)
Bend over, bend over, bend over (bend over)
Bend over (bend over, Bend over)
Machete! When we show up, when we show up
Machete! Tukitokea, wamepotea
Machete! Nikutakata, kukatakata
Machete! When we show up (aah go)
Leta watoto wanyonye pinya kolada
Watu wameminya ma prada gucci matara
Wasee walihonga vitara kisha vipara
Vyuma moto, nyuli nyuli sio viparara
Hapa kunukia uturi usilete harahara
Mezani soma ishara kwa manyapara
Tz tu Kampala tukutane huko, nikuparadiso
Bend over, Bend over, Bend over, Bend over
Bend over, Bend over, Bend over
Bend over, Bend over, Bend over, Bend over
Bend over, Bend over, Bend over
Machete! When we show up, when we show up
Machete! Tukitokea, wamepotea
Machete! Nikutakata, kukatakata
Machete! When we show up (yeah go)
Waswahili wananiitaga mi bwashee
Mashabiki wanasemaga kiwashee
Baby baby wananipaga nipashee
Kimasai wananiitaga lalashee
Baby wako hajanipa wiki
Sana sana kanipa tiki
Mi navina na nata mziki
Na nina pochi nang'ata dhiki
Pombe maji inabidi tuogelee
Pisi kali inabidi isogelee
Wenye chuki inabidi waniongelee
Mi siachiki inabidi tuendelee
Bend over, bend over, bend over, (end over)
Bend over, (bend over, bend over)
Bend over, bend over, bend over, (bend over)
Bend over, (bend over, bend over)
Machete! When we show up, when we show up
Machete! Tukitokea, wamepotea
Machete! Nikutakata, kukatakata
Machete! When we show up (eeeh eiy)
Ukiona tunavuna ujue ndo tulio lima
Na shamba liko mjini hapa mzizima
Washamba hapa mjini ndipo wanapozima
Mangoima hawanisomi hizi tungo wima
Tuko ndima, mangirimaa
Am chilling in the counter
With the chuggah queen Mimi Mars
A-city bars A-city kazi, A-city kazi
Fyonza mabaki, funza mawaki
Flow nina attack ki-iluminati
Machete, Machete, machete (Machete)
Mapimbi nakata machete (Machete)
Wanafiki nakata waletee
I say, Ambia ma waiter walete (woow)
When we show up, up
Machete! Tukitokea, wamepotea
Mwambie akizingua tu na switch
Mi na ndizi kisukari asali mbichi
Askari wapo lakini hawazimi mziki
Hatari hapo ni kwamba ma boss sisi
Tembeza mwenge unawaka mpaka boko
Na tukitokea ndo linapo panda joto
Mboga zote mbuchi chini bakayoko (Weusi)
Twazoa biashara sokomoko
Kila mboga ni biashara, target ni Ankara
Ambia hizo baby zitaloose
Tukihama hapa ni muamala, show nitatawala
Nanoa visu vikali toka juzi
Baby kila mtu anatuangalia hadi najishtukia
Usijali, uko na namba moko Tanzania
Shingo mpira ya kifokorise topa miaka mia
Kujiachia sijai kuachwa kumbatia
Machete! When we show up, when we show up
Machete! Tukitokea, wamepotea
Machete! Nikutakata, kukatakata
Machete

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists