Kishore Kumar Hits

Weusi - Ni Come lyrics

Artist: Weusi

album: Ni Come


Eeeeeh
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Fashion you drive me crazy
Mitindo mipya daily
Utamu niteleze
Unishi aniongezee
Wafanya nije upesi
Unaniachaga mwepesi
Unafutaga mastress
Nachopendaga huringi
Madili pili kwa wingi
Rand madola shilingi
Kitaa sitakata ringi
We are redeemer(ayayaa)
Narindima
Mgoshuandima(wee yeah wee yeah)
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Mchezo matanuzi kipa goal
Kila tukirudi kisago
Kila nikirudi ni trouble
Ni trible
Ni dampa nasweka lupango
Nisije viruga mipango
Na joka lishatoka pango
Na watoto wanakaa mpaka we dim
Nateka toto zote dsm
Naleta mafrekechenism
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Nicome(yea yea yea)
Unanifanya nije
Ni tam(yea yea yea)
Nakuja baru baru vile umenigaragaza
Kifaru faru john vile ninawashangaza
Nakuja kama serikali kuu ya kuliwaza
Nakuja kwenye ziwa mama nimetua mwanza
Nakuja ile kidakawa au kilakala
Kama nmetoka bodi ni falafala
Na nikicome nasimama sio kulala
Namaanisha leo usiku hakuna kulala
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Ni taamu
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Unanifanya nicome
Unanifanya nije
Eh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists