Jua kwamba wewe ndio wangu Baridi ya roho 'seisha na hamu Sura yako dawa kwangu Raha za pungu' kando zangu Mahaba yako ndio tiba yangu Nyota yako yang'ara yangu Hebu tathmini kisha nipe jibu 'Vi kwanini hutaki kunijibu Mitihani yote nimeshinda Nadhani ni wakati Penzi letu sisi liwe wazi Roho yangu inauma Maumivu sasa basi Sasa basiiiii Ni kwa thabiti nielewe Pesa sio mapenzi Pesa sio mapenzi Kwa utenzi huu Nielewe baby Nakuhitaji mpenzi Wewe nd'o faraja yangu Wewe nd'o faraja yangu Faraja yangu You are my baby Jua kwamba wewe ndio wangu (oohhh...) Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu) Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi) Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu) Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-) Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi) Kama tamaduni zetu ni moja Twende nyumbani ukamsabahi mama Tupate baraka za wazazi Na uwajue ndugu zangu Dini zetu isiwe kama hoja Pingamizi sintozingoja Niko tayari kukuvisha pete Uwe wangu Kwa utenzi huu Niamini (niamini) Nielewe (nielewe) 'Cause you're my baby (yeah yeah) You're You're my lady Njoo nyumbani Njoo nyumbani You're my lady Njoo nyumbani Unipe burudani yeah Uliniamini You're my lady Njoo nyumbani Unipe burudani Unione kama mimi yeah yeah ya' Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu) Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu) Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi) Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu) Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-) Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi) Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu) Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu) Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi) Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu) Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-) Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi)