Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi Katika masononeko nikamlilia Bwana Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu Nitamuinua Nitamsifu Ndiye mwokozi Ni Alpha na Omega Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana Tunakupa mamlaka mamlaka Mamlaka Milele Nitamuinua Nitamsifu Ndiye mwokozi Ni Alpha na Omega Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana Tunakupa mamlaka mamlaka Mamlaka Milele Ndiye Mwanzo na Mwisho Mungu wa Israeli Ndiye Mwanzo na Mwisho Jina lake Jehovah