Kishore Kumar Hits

Timam Evans - Nafsi moja lyrics

Artist: Timam Evans

album: Ibada Kitaa


Hii nyimbo inaweza kosa kutrend
Waseme haina Wow factor
Wanadai mamresh kwa video,
Wanataka maboom boom twaff
Naomba ningepata,
Huyo mmoja ambaye amechoka
Anahisi there is more to Life,
Kwa hakikii hii nyimbo itamfaa
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi Vileee
Amechoka na addiction za majani,
Mavela tindi kali
Kuwaleta kejani... mfungue
Sister amechoka na Kubebwa kimandazi
Kutumika na machali,
Anatamani awe wifey,
One day
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi VileeeHiyo
Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee Tizama alivyokuja,
Asirudi Vileee
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji... Mchungaji
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji... Mchungaji
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists