Najua hiki ndio kipindi ukipendacho Najua sasa hivi uko karibu na redio Labda peke yako hauna rafiki zako Naomba kidogo ongeza sauti ya redio Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo Nimetunga special kwa ajili yako mrembo Mtangazi kati ya wimbo usiweke jingo Nimetunga rasmi kwa mtu aliye single Kwa ajili yako naimba Sauti hii sikia Habari hii pokea Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia Zingatia... ah ah Ndani ya roho yangu uko peke yako Usihofu mami hakuna mwenzako Nimezaliwa mimi kwa ajili yako Ninaahidi sitotupa penzi lako Nimekupa nafasi kubwa ndani ya moyo Fursa tu uniite baba watoto wako Kipingamizi hakuna juu yako Come closer nipunguze mapigo ya moyo Kwa ajili yako naimba Sauti hii sikia Habari hii pokea Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia Zingatia... ah ah Moyo wangu unatamani sana Mimi kuwa na wewe Wacha niseme hadharani Kila mtu asikie Moyo wangu unatamani sana Mimi kuwa na wewe Wacha niseme hadharani Kila mtu asikie Asali ni tamu baby Kwa wanaoifahamu Ila ni chungu sana, kwa wasioifahamu Songea karibu yangu yangu, tulia kabisa Lala kifuani mwangu,sinzia kabisa Kwa ajili yako naimba Sauti hii sikia Habari hii pokea Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia mrembo Usiguze mrembo Zingatia Zingatia... ah ah Zingatia Zingatia Zingatia