Kishore Kumar Hits

Hussein Machozi - Utaipenda lyrics

Artist: Hussein Machozi

album: BEST HITS SONGS OF HM


I know you goin' like
Yeah I know you goin' like
Yeah! I know you goin' like (utaipenda)
(Utaipenda)
Segea hii ndo njia ndio maana sina wasi wasi haa
Sina hofu 'cause me sio mbuzi wa shughuli oh-oh
Segea hii ndo njia ndio maana sina wasi wasi (yeah yeah)
Sina hofu 'cause me sio mbuzi wa shughuli
Ninanvyokata hizi vesi bila wasi (wasi)
Nitakaza mpaka mwisho labda nife kesho
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (hii leo)
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (leo)
Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda oh-oh-oh
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda
Uso wako unachukia kipaji changu (haa)
Moyo wako unafurahia sauti yangu (oh-oh-oh)
Uso wako unachukia kipaji changu (yeah yeah)
Moyo wako unafurahia sauti yangu
Hizo kunde sina kabisa mpangonazo (mpangonazo)
Najua wazi mashuzi zitaniongezeamo
Walizani nacheza natania (tania hii leo)
Mungu inshaallah kanipandisha
Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda (R city is the house)
Yeah! Yeah I know you goin' (utaipenda)
Aah I know you goin' like (utaipenda)
(Kwa moyo kwa chuki utaipenda)
I know you goin' like it baby
Aah! Kama na wa-overdose ok
Kama nawaweka waiting in vain
Cheif me nilivyo Obama kwa malkia
Kwa feeling ni hizi lazima tuwe kwa machozi Hussein
Yeah! Mashairi hayalali mtaani yamekuwa security
Microscope kwahiyo ni impurities
Na murder this saa sio my Disney reality
Nani ana-guess just act, just I'm actor
Nakimbiza huu mchezo kila bata
Look men nikianzia unafuata
Aah aah I'm shatter
Na kama shatter na shaka ni kina pia
Tunapangilia hatujaribu usinijaribu karibu karibu nikuaribu kasimulie
Joh ni makini kama shaka usitie
Ni bless the Jah, yes bless the jah
You make dis noise R city is the house
Yeah yeah yeah we in a hause
Aah yeah I know you goin' like baby
Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda
Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh)
Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo), utaipenda
Yeah I know you goin' like it
Aah yeah I know you goin' like
(Utaipenda, utaipenda)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists