Dhambi za mababu zangu Dhambi za kizazi changu Dhambi za ujana wangu Zimekuwa hukumu yangu Nakubali mimi mwenye dhambi Nalilia huruma zako Na sauti sauti ya hukumu Haina nguvu zaidi ya yako Msalaba unajibu Msalaba unajibu Msalaba unajibu Maswali ya dhambi Nakubali mimi mwenye dhambi,Nalilia huruma zako Na sauti, sauti ya hukumu haina nguvu zaidi yako Msalaba umejibu maswali ya dhambi Maswali ya dhambi Maswali ya dhambi