Wee pekee, kiu ya moyo wangu Natamani kushiriki nawe Unikumbushe agano lako Uweponi nisiondoke Kaa na mimi siku zote Wee pekee, haja ya moyo wangu Natamani kutembea nawe Unikumbushe agano lako Uweponi nisiondoke Kaa na mimi siku zote Njoo utujaze Na roho wako Twakungoja (aah) Njoo, mioyo yetu Yakutamani, Bwana (×2) Wee pekee, kiu ya moyo wangu Natamani kushiriki nawe Nikumbushe agano lako Uweponi nisiondoke Kaa na mimi siku zote (×2) Njoo utujaze Na roho wako Twakungoja (aah) Njoo, mioyo yetu Yakutamani, Bwana (×2) Nakutamani, (kiu ya moyo wangu) Nakuhitaji, (baba) Nakutamani, (mwanzilishi wa imagine yangu) Kaa nami (×2) Kaa nami (×3)