Nimepata Kibali Kwa kudharauliwa kwako Mangonjwa yangu yameponywa Kwa mapigo uliyo yapata Huzuni yangu ulibeba Kwa masikitiko yako Kalivari Kalivari Hapo yote yalikwisha Dhabihu yako inatosha Nimesamehewa ni huru Kalivari, Kalivari, hapo yote yalikwisha