*NITAKAA NA WEWE – KARURA VOICES* Nikiwa ndani Yako na Wewe ndani yangu Mzabibu wa kweli sitanyauka x 2 Umenipa uhai (eeeh!) Umenipa uzima (eeeh!) Nikiwa ndani Yako (sitanyauka) Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe maji ya uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe mkate wa uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Mimi ni kama mti, uliyo kando ya mto Kwa nyakati zote, sifanyauka x 2 Umenipa uhai (eeeh!) Umenipa uzima (eeeh!) Nikiwa ndani Yako (sitanyauka) Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe maji ya uzima, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe mkate wa uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe hunilaza, kwa majani mabichi Kwa maji matulivu, waniongoza x 2 Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa na Wewe) Wewe maji ya uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa na Wewe) Wewe mkate wa uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa na Wewe) Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe mzabibu wa kweli, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa Nawe) Wewe maji ya uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa na Wewe) Wewe mkate wa uhai, nitakaa Nawe (Nawe nitakaa na Wewe) Mzabibu wa kweli Wewe Maji ya uhai Wewe Mkate wa uzima (Nitakaa na Wewe)