Kishore Kumar Hits

Karura Voices - Hapa Sitoki lyrics

Artist: Karura Voices

album: Momentum


Nilitafuta, nasikupata, anayejaza moyo Wangu (Na Amani)
Nilizunguka duniani, nikitafuta (Cha dhamani)
Mpaka nilipo, fika hapa uweponi mwako
Hapa nilipo, kwako baba, kivulini mwako
Hapa hapa sitoki
Hapa hapa sijuti
Hapa pana uzima, wa milele
Nilitafuta, nasikupata, anayejaza moyo Wangu (Na Amani)
Nilizunguka duniani, nikitafuta (Cha dhamani)
Mpaka nilipo, fika hapa uweponi mwako
Hapa nilipo, kwako baba, kivulini mwako
Hapa hapa sitoki
Hapa hapa sijuti
Hapa pana uzima, wa milele
Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Nani
Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu
Anaweza, kunichukua kuniosha dhambi
Anaye weza kuniondoa kwenye mashimo
Anayeweza kunipanguza mavumbi yangu yote
Anayeweza kunisamehe dhambi zangu zote

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists