Ewe Mungu usiyeshindwa Sifa nakurudishia Ewe Baba usiyeshindwa Sifa nakurudishia Vita umenipigania Sifa nakurudishia Milango umenifungulia Sifa nakurudishia Nakwimbia wimbo wa sifa Wimbo wa sifa Wa kuimbia mwingine sina Mwingine sina Nacheza densi kiafrika kiafrika Nikupe sifa Nikupe sifa