Kishore Kumar Hits

Karura Voices - Eh Bwana Uniinue lyrics

Artist: Karura Voices

album: Wimbo Wa Sifa


Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe
Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame
Nipande milima yote
Eeh Bwana unipandishe
Sinatamani nikae
Mahali pa Shaka kamwe
Hapo wengi Wanakaa
Kuendelea naomba
Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame
Nipande milima yote
Eeh Bwana unipandishe
Sinatamaa mi nikae mahali pa Shaka kamwe
Hapo wengi Wanakaa kuendelea naomba
Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame
Nipande milima yote
Eeh Bwana unipandishe

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists