Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu Unasikia unaongea unatembea Ulichosema ninaamini utanitendea Huwachi kitu katikati,Huwachi mtu njiani Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha Wewe mwaminifu Baba Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia ahadi Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Imani Ulisema,ulisema Baba Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina Ulisema,ulisema Baba Ulisema na ukisema Baba utatimiza Ulisema na ukisema Baba utatimiza Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu Unasikia unaongea unatembea Ulichosema ninaamini utanitendea Huwachi kitu katikati,Huwachi mtu njiani Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha Wewe mwaminifu Baba Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Ahadi Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Imani Ulisema,ulisema Baba Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina Ulisema,ulisema Baba Ulisema na ukisema Baba utatimiza Ulisema na ukisema Baba utatimiza