Kishore Kumar Hits

THE TWAKUTUKUZA CHOIR - Rauka lyrics

Artist: THE TWAKUTUKUZA CHOIR

album: Twakutukuza


Walikubaandika mtu wa shida
Daktari alisema hakuna tiba
Ulianguka tena na tena kumbuka
Alikuokoa hakukusahau
Ukapewa notisi hakuna kazi
Ma auctioneers waka vuruga mali
Ulianguka tena na tena, kumbuka
Alikuokoa hakukusahau
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Twakushukuru Baba
Twakuinua Baba
Twakutukuza Baba
Twakupokea Mfalme wa wafalme
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka
Rauka, inuka sahau yote yaliyopita
Tazama mambo mapya
Sahau yote yaliyopita
Kumekucha, pambazuka, leo

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists