Fena na na na mmh Ata sijaskia vibaya mmmh Ata sijaskia vibaya No Yoh, yoh Nimeshinda nikiomba Khali collabo Miaka mingi ananiambia, "Mmh bado" (bado) Ata sijaskia vibaya Ata sijaskia vibaya Akanishow, "Rudi studio Okata kadoh before you call Jones to be in your video" (video) Ata sijaskia vibaya mmh (ata sijaskia vibaya) Nikamshow "You just give me one year I'll be ranking shows from the front to the rear You gonna wish you gave me that chance utalia" (Utaniomba lift in my private lia) Hehe, enyewe nilikuwa nimeskia vibaya Siku izi me ndoga nanyimana collab Nimepanda bei (bei) Nimepanda gwan Wacha waskie vibaya (kabisa) Wacha waskie vibaya (kabisa) Sasa me ni donga number one Boss lady waskie vibaaya Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaaya (ata sijaski vibaya) Shikisha kama veve Eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi (baridi) Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya (Ata sijaskia vibaya) Ohh Wacha waskie vibaya (hmm) Wacheke na we wakutakie mabaya Kwangu kila la heri Mungu wangu halali Wakidhani ntafail Nazi hadi ulaya Aha, Napiga luku na swegg hadi ni retire eeh Najaza buku kwa deni bregi ni fire Nipate mwisho wa mwezi cheki ni wire Napiga picha selfie kwa benki na sina haya Chema chajiuza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo Kuuza tutauza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo Nywele paka mafuta (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo) Kuuza tutauza (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo) Sasa me ni donga number one Boss lady waskie vibaaya (ata sijaskia vibaya) Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaya Nashikisha kama veve Eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi (Ata sijaskia vibaya) Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya (Natena, natema, napenda, ni tamu) Wasikie wasikie, usike, usike, usike mmh Wasikie, vibaaya (kama hema) Wasikie wasikie, usike, usike, usike mmh Wasikie, vibaaya (...Watu watoe jacket, haha juu ya joto) Mmh Wasikie wasikie, wasikie Uuh wasikie vibaaya eeh Fena – na – na na na Njuguna na na na na Uuh me ndo Njuguna sijaskia vibaya, haa Njuguthee, sai umeskia vibaya haa) Sasa me ni donga number one Boss lady waskie vibaaya (uhh) Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaaya Nashikisha kama veve Eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya Sasa me ni donga number one Boss lady waskie vibaaya Nimekuwa chini nikihustle daily Na sina ubaaya yeye Nashikisha kama veve Eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi (hoiyee) Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya Sasa me ni donga Boss lady wasikie vibaaya