Wazungu wako Ulaya Huku ni watu kawaida tu Wenzako wachapisha riwaya Ona mchango wako mawaidha tu Nilikwambia nakupenda sana Ukanikosoa grammar Naskia ni ka na katia wahenga bana Vile hukosi lawama Ukiona sitimizi desire zako Fuata wazungu wako Ulaya Nitafuga madredi nisake mlami Manzi hataenikejeli nikibanja ka mimi Anipatie wakidi wa nywele curly Bila hizi ma mabidii za kunibadili Weh tangu upate ka mboka Unakuanga na mapetho Kila time you come over Ukosangi tu maneno Nilikanda mapocha Akasema ziko ghetto Anataka ma yogurt Na vifaranga za Galito Hey! Wazungu wako Ulaya Huku ni watu kawaida tu Wenzako wachapisha riwaya Ona mchango wako mawaidha tu Nilikwambia nakupenda sana Ukanikosoa grammar Naskia ni ka na katia wahenga bana Vile hukosi lawama Ukiona sitimizi desire zako Fuata wazungu wako Ulaya Bae alienda India Akarudi na sauti ya Kardashian Problem Vile pua inafinywa Utadhani Uni major ilikua twang Girlfriend Amekuwa Fender Telecaster Inacheza benga zile za kipalansa Kila pahali tunaenda utampata Juu ya kiingereza kama visiting pastor Askofu (Heh) Tangu utoke mayola Unakuanga na mapetho Kila time nakulola Hukosangi tu maneno Unapenda kununa Tangu utengeze mameno Jana tulikua boo'd up Leo siyuko level Hey! Wazungu wako Ulaya Huku ni watu kawaida tu Wenzako wachapisha riwaya Ona mchango wako mawaidha tu Nilikwambia nakupenda sana Ukanikosoa grammar Naskia ni ka na katia wahenga bana Vile hukosi lawama Ukiona sitimizi desire zako Fuata wazungu wako Ulaya