Kishore Kumar Hits

Flier - Policy lyrics

Artist: Flier

album: Policy


Round hii utajua hajui
Hatuweki mafala hawa
Pesa nitakula
Na sitaleta kura, heh
Wakifunga nyumba
Ulikua runda, weh
Hatuweki mafala hawa
Haujali bout me
Naskia unabenki Maldives
Kijinyumba kinacheki palm trees
Ikinuka utaruka kambi
Sina karo, sina food, sina kodi
Na nina bibi aii, kuna Covid
Miss me na story za BBI
Wanasema tunavuta bangi
Lakini cheki zinashika nani
Wananchi wanawika haki
Huku tender zikipita kati
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Hatuweki mafala hawa
So, pesa nitakula
Sitaleta kura heh
Nikishindwa na rent
Ulikua karen, yea
Hatuweki mafala hawa
Hawajali bout you
Naskia wanamali offshores
Mandege na mameli lord knows
Wakidedi watasare all those
Magazeti walihonga of course
Kwenye teli ni githeri man
Someone tell me where we heading man
Wanasema tunavuta bangi
Lakini cheki zinashika nani
Wananchi wanawika haki
Huku tender zikipita kati
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Sitakuvotia weh
Ka ukabila ndio policy
Kama beer ndio policy
Ka kamia ndio policy
Hatuweki mafala hawa
Round hii utajua hajui

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists