Kishore Kumar Hits

Nabalayo - Gari Ya Moshi lyrics

Artist: Nabalayo

album: Changanya

Jamaa, jamaa, tamaa
Taswira yake imenizidi
Labda safari itanifaa
Labda itanipa utulivu
Nasikia sauti
Nasikia sauti
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Rudi, rudi, rudia
Rudia nipate usalama
Nilidhani upweke inanifaa
Lakini upweke unanizidi
Nasikia sauti
Nasikia sauti
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Lia, lia, tulia
Dunia kafanana jehanamu
Kovu nazo zajifichua
Labda safari itanifaa
Nasikia sauti
Nasikia sauti
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)
Nibebe (nibebe)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists