Weka shida chini glass juu Tujipongeze usijali wanafki wambea Chapa mziki wote tucheze ♪ Enh Vanny Boy (Chui) Eh Platnumz ♪ (S2kizzy baby) Ah maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?) Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!?) Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?) Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali Ati unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Oh-za Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) E bwana wee! Hela ya kooodi nainywea pombe Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde Na kama hayanogi mapenzi usikonde Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge Osh yu kwapii? Enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Yu kwapii? Yu kwapii huyo? (basi nitongoze) Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo liko wazi sema nitakubali Ati unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) Unantaka? Eti unanipenda? (basi nitongoze) E bwana wee! ♪ (S2kizzy baby) Zombiieee Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer Onyesha boxer ash tuone boxer aosh Nyanyua shati ingia kati tuone boxer