Utamu wa mapenzi, sitamani uishe Sitamani ukatike, tusifike mwisho Mmmh, deka mpenzi ukitaka nikulishe Na pete nikuvishe mi nawe mpaka kifo (Motif di Don) Nimeamua moyo umekuchagua Hakuna wa kusumbua mimi ni wako Mmmh, naomba dua Penzi lizidi chandua Na lisiache kukua nibaki kwako Malaika, wamefananisha Uzuri usojificha we wangu wa maisha Malaika, wamefananisha Uzuri usojificha we wangu wa maisha I'm falling in love, fall in love I'm falling in love, fall in love Tabasamu lako (lako) Midomo macho (macho) Upendo huduma umezawadiwa Tamu tamu yako (lako) Sitoki kwako (kwako) Mapendo huruma umejaaliwa This is the love I have been looking, forever mine I have been searching my baby With you No no no no, this is the love I have been waiting, forever love I have been searching my baby My baby Malaika, wamefananisha Uzuri usojificha we wangu wa maisha Malaika, wamefananisha Uzuri usojificha we wangu wa maisha I'm falling in love, fall in love I'm falling in love, fall in love I'm falling in love, fall in love