Lambwa laambwa lambwatika Maharage yako jikoni nmeshayapika Nangojea sukari ya bwana hajafika Vumiliia jirani usijentonesha kidonda Vumilia we jirani usije... Vumilia leo jirani usij... Aah dakitari huyo yuaja ajakitia dawa kidonda Hajakitia dawaa .kidondaa Kachirii kachirii... sagaa Kachiri leo kachiri Kachiri mama kachiri Mume wangu kasafiri Kaniachia kigoma Na mtindo wa hariri Kaniachia korola Na madola teletele Na kidani cha dhahabu Na kiatu cha kokoto Kisimu cha mkononi Kachirii kachiri... Buz langu limo ndani Na kamba yake shingoni Melifunga kiguzoni Mchunaji una nini Katafute vingunguti Buz langu hulipati Kachiri.saga Kachiri. Kachiri Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira Wene makandawira(inawene makandawira ina wene) Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira (Makandawira ina wene makandawira)