Kenya One ndio huyo njiani Teke teke, barabara weka lami Na uchafu jo, mfiche kwa kabati Na mhakikishe mmepaka rangi Nataka tu kuona tai na mashati Hao ma-hawker wapeleke huko mbali Kisirani ndogo ndogo hatutaki Changamka serikali wana-come Mister President How can you ever know What's going on Outside of your itinerary Coz generally The people around you They go ahead of you Cleaning and weeding Any and everything Too revealing Of the true state of things The potholes, the sins The trafficking, the guns The spilling of innocent blood You fly past in your convoy Like an envoy First class Will you ever touch the ground? Mister President Barely resident Kenya One ndio huyo njiani Teke teke, barabara weka lami Na uchafu jo, mfiche kwa kabati Na mhakikishe mmepaka rangi Nataka tu kuona tai na mashati Hao ma-hawker wapeleke huko mbali Kisirani ndogo ndogo hatutaki Changamka serikali wana-come Ule chali Amepanda bus kutoka kule mashinani Anadai ati ako na maswali Serikali, wapi mali? Tafadhali hizo maswali Peleka huko mbali nami Na ukileta fujo Tutakuweka ndani Kasarani Tuseme umebeba bhangi Ile ulivuta na mwenzako Bonnie Mwangi Huko tao mnapaka rangi hadharani Mlipewa pesa na walami mkadhani Mngeweza kutubabaisha Namna gani? Nyi ndio nani? Wacha zako, hio na vako Mtajua serikali si ya mama yako Ingia ndani ufirwe kavu kavu kwa matako Tunajua style yako In the meantime Hapa nje kazi iendelee And in the future Ukicheki convoy Lazima unyenyekee Kenya One ndio huyo njiani Teke teke, barabara weka lami Na uchafu jo, mfiche kwa kabati Na mhakikishe mmepaka rangi Nataka tu kuona tai na mashati Hao ma-hawker wapeleke huko mbali Kisirani ndogo ndogo hatutaki Changamka serikali wana-come Come, come Come, come again Saa ya campaign Ulikuwa my best friend Ahadi nyingi nyingi under false pretence Ukiingia ofisi unaturusha deep end Come, come Come, come again Umezungukwa na wezi It has to be said You learn a lot about a man If you look at his friends It's your turn to eat When will this shit end? Mtukutu Rais Sidhani unatuskiza Hio ganji mnasanya Ni sisi tutalipa Ushuru inatufinya Hali ya maisha Huku chini si siri Watu wanahangaika Ni lini mtaaacha kutubeba wajinga Daktari wa Kenya Mnashindwa kulipa Lakini wa Fidel Mnawakaribisha Madharau ndogo ndogo Ndio unatufanyia Unanizoea na mi ndio nilikupea kazi? Unaniuliza ufanye nini juu ya ufisadi? Mbona uli-run na unajua hauwezani? Hii nchi kusema kweli inaongozwa na nani? Na, na, nani atatuambia Pahali pa kupata Wa kutusaidia Punda imechoka Choka kuvumilia Rais akikuja, mi mwenyewe nitamwambia Kenya One ndio huyo njiani Teke teke, barabara weka lami Na uchafu jo, mfiche kwa kabati Na mhakikishe mmepaka rangi Nataka tu kuona tai na mashati Hao ma-hawker wapeleke huko mbali Kisirani ndogo ndogo hatutaki Changamka serikali wana-come Kenya One ndio huyo njiani Kenya One ndio huyo njiani